Zaburi 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Lakini Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ni ngao yangu pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini wewe, Ee bwana, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Lakini Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Tazama sura |