Zaburi 3:1 - Swahili Revised Union Version1 BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ee Mwenyezi Mungu, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ee bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia, Tazama sura |