Zaburi 27:2 - Swahili Revised Union Version2 Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Waovu wakinishambulia, na kutaka kuniangamiza, hao wapinzani wangu watajikwaa na kuanguka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Waovu watakaposogea dhidi yangu ili wale nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Waovu watakaposogea dhidi yangu ili wanile nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka. Tazama sura |