Zaburi 24:2 - Swahili Revised Union Version2 Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Maana yeye aliweka misingi ya dunia juu ya bahari; aliisimika imara juu ya mito ya maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 maana aliiwekea misingi yake baharini, na kuifanya imara juu ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha. Tazama sura |