Zaburi 24:1 - Swahili Revised Union Version1 Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Dunia na vyote vilivyomo ni vyake Mwenyezi-Mungu; ulimwengu na wote waishio humo ni mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Dunia ni mali ya Mwenyezi Mungu, na vyote vilivyomo, ulimwengu, na wote wanaoishi ndani yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Dunia ni mali ya bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu, na wote waishio ndani yake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake. Tazama sura |
ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng'ombe, nawe utanyeshewa na umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote.