Zaburi 21:8 - Swahili Revised Union Version8 Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kulia utawapata wanaokuchukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. Tazama sura |