Zaburi 2:2 - Swahili Revised Union Version2 Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya dhidi ya Mwenyezi Mungu na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wafalme wa dunia wanajipanga na watawala wanajikusanya pamoja dhidi ya bwana na dhidi ya Mpakwa Mafuta wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake, Tazama sura |