Zaburi 19:1 - Swahili Revised Union Version1 Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake. Tazama sura |