Zaburi 148:2 - Swahili Revised Union Version2 Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni. Tazama sura |