Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 148:1 - Swahili Revised Union Version

1 Haleluya. Msifuni BWANA kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Msifuni Mwenyezi Mungu. Msifuni Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, msifuni juu vileleni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Msifuni bwana. Msifuni bwana kutoka mbinguni, msifuni juu vileleni.

Tazama sura Nakili




Zaburi 148:1
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.


Haleluya. Ee nafsi yangu, umsifu BWANA.


Mbingu na nchi zimsifu, Bahari na vyote viendavyo ndani yake.


Ee BWANA, mbingu zitayasifu maajabu yako, Uaminifu wako katika kusanyiko la watakatifu.


Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.


Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo