Zaburi 146:9 - Swahili Revised Union Version9 BWANA huwahifadhi wageni; Huwategemeza yatima na mjane; Bali njia ya wasio haki huiharibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mwenyezi-Mungu huwalinda wageni, huwategemeza wajane na yatima; lakini huipotosha njia ya waovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mwenyezi Mungu huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 bwana huwalinda wageni na kuwategemeza yatima na wajane, lakini hupinga njia za waovu. Tazama sura |
Basi Zereshi mkewe na marafiki wote wa Hamani wakamwambia, Na kitengenezwe kiunzi cha mti wa kunyongea wa urefu wa mikono hamsini, na kesho asubuhi useme na mfalme ili Mordekai atundikwe juu yake; ndipo utakapoingia kwa furaha pamoja na mfalme karamuni. Basi ushauri huu ukamridhisha Hamani, akautengeneza mti wa kunyongea.