Zaburi 146:8 - Swahili Revised Union Version8 BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 huwafungua macho vipofu. Mwenyezi-Mungu huwainua waliokandamizwa; huwapenda watu walio waadilifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mwenyezi Mungu huwafumbua vipofu macho, Mwenyezi Mungu huwainua waliolemewa na mizigo yao, Mwenyezi Mungu huwapenda wenye haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 bwana huwafumbua vipofu macho, bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, bwana huwapenda wenye haki. Tazama sura |