Zaburi 139:2 - Swahili Revised Union Version2 Wewe wajua kuketi kwangu na kusimama kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Nikiketi au nikisimama, wewe wajua; wajua kutoka mbali kila kitu ninachofikiria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Nikiketi au nikisimama, wewe wajua; wajua kutoka mbali kila kitu ninachofikiria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Nikiketi au nikisimama, wewe wajua; wajua kutoka mbali kila kitu ninachofikiria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Unajua ninapoketi na ninapoinuka; unatambua mawazo yangu tokea mbali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Wewe wajua kuketi kwangu na kusimama kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. Tazama sura |