Zaburi 13:6 - Swahili Revised Union Version6 Naam, nitamwimbia BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nitamwimbia Mwenyezi Mungu, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nitamwimbia bwana, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu. Tazama sura |