Zaburi 13:5 - Swahili Revised Union Version5 Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. Tazama sura |