Zaburi 102:2 - Swahili Revised Union Version2 Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako; ninapoita, unijibu kwa upesi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi. Tazama sura |