Zaburi 10:8 - Swahili Revised Union Version8 Hujificha na kuotea vijijini. Katika maficho humwua asiye na hatia, Macho yake humtazama kisiri mtu duni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hujificha vijijini huku anaotea, amuue kwa siri mtu asiye na hatia. Yuko macho kumvizia mnyonge; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Huvizia karibu na vijiji; kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, akivizia wapitaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Hujificha na kuotea vijijini. Katika maficho humwua asiye na hatia, Macho yake humtazama kisiri mtu duni. Tazama sura |