Zaburi 10:10 - Swahili Revised Union Version10 Hujikunyata na kuinama; Watu duni huanguka kwa nguvu zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mnyonge huvamiwa na kuangushwa chini; huangushwa kwa ukatili wa mtu mwovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mateka wake hupondwa, huzimia; wanaanguka katika nguvu zake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Hujikunyata na kuinama; Watu duni huanguka kwa nguvu zake. Tazama sura |