Yoshua 9:26 - Swahili Revised Union Version26 Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Basi, alilowatendea ni kuwaokoa mikononi mwa Waisraeli ili wasiangamizwe; hivyo hawakuwaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuwaua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kwa hiyo Yoshua akawaokoa mikononi mwa Waisraeli, nao hawakuuawa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Naye akawafanyia hivyo, na kuwaokoa na mkono wa wana wa Israeli, ili wasiwaue. Tazama sura |