Yoshua 9:25 - Swahili Revised Union Version25 Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Sasa sisi tumo mikononi mwako, ututendee kama unavyoona inafaa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Sasa tupo mikononi mwako. Tufanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki kwenu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Sasa tupo mikononi mwako. Tufanyieni lolote mnaloona kuwa jema na haki kwako.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende hivyo. Tazama sura |