Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 8:30 - Swahili Revised Union Version

30 Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa BWANA, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Kisha, Yoshua akamjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, madhabahu mlimani Ebali,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, katika Mlima Ebali,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Kisha Yoshua akajenga madhabahu ya bwana, Mungu wa Israeli, katika Mlima wa Ebali,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 Ndipo Yoshua alijenga madhabahu kwa BWANA, Mungu wa Israeli katika mlima Ebali.

Tazama sura Nakili

Yoshua 8:30
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.

Utanifanyia madhabahu ya udongo, nawe utatoa dhabihu zako juu yake; sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani, kondoo wako, na ng'ombe wako, kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina langu, hapo ndipo nitakapokujilia na kukubarikia.

Na iwe, siku mtakayovuka Yordani kwenda nchi akupayo BWANA, Mungu wako, ujisimamishie mawe makubwa, ukayatalize matalizo,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo