Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 8:27 - Swahili Revised Union Version

27 Isipokuwa mifugo na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la BWANA alilomwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Waisraeli waliteka tu wanyama na mali kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amemwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile bwana alivyokuwa amemwagiza Yoshua.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Isipokuwa mifugo na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la BWANA alilomwamuru Yoshua.

Tazama sura Nakili




Yoshua 8:27
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana kila mnyama-pori ni wangu, Na mifugo juu ya angani elfu.


lakini dhahabu, na fedha, na shaba, na chuma, na bati, na risasi,


Fanya jumla ya hayo mateka ya wanadamu, na ya wanyama pia, wewe, na Eleazari kuhani, na wakuu wa nyumba za baba za mkutano;


Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?


Lakini wanyama wote wa mji, na nyara za miji, tulitwaa kuwa mawindo yetu.


Nao wakatoka nje, wao na mjeshi yao yote pamoja nao, watu wengi mno, kama mchanga ulio ufuoni mwa bahari kwa wingi, pamoja na farasi na magari mengi sana.


nawe utautenda mji wa Ai na mfalme wake kama ulivyoutenda mji wa Yeriko na mfalme wake; lakini nyara zake na wanyama wake wa mji mtavitwaa kuwa mateka yenu wenyewe; huo mji uuwekee waoteaji upande wa nyuma.


Basi Yoshua akauteketeza mji wa Ai, na kuufanya kuwa ni rundo la magofu hata milele, kuwa ni ukiwa hata siku hii ya leo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo