Yoshua 7:20 - Swahili Revised Union Version20 Akani akamjibu Yoshua, akasema, Kweli nimefanya dhambi juu ya BWANA, Mungu wa Israeli, nami nimefanya mambo haya na haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Akani akamjibu; “Ni kweli nimetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli. Na hivi ndivyo nilivyofanya: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Akani akamjibu Yoshua, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Akani akamjibu Yoshua, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya bwana, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Akani akamjibu Yoshua, akasema, Kweli nimefanya dhambi juu ya BWANA, Mungu wa Israeli, nami nimefanya mambo haya na haya. Tazama sura |