Yoshua 7:14 - Swahili Revised Union Version14 Basi asubuhi mtaletwa karibu nami kabila kwa kabila; kisha itakuwa ya kwamba kabila ile atakayoitwaa BWANA itakaribia jamaa kwa jamaa; na jamaa ile atakayoitwaa BWANA itakaribia nyumba kwa nyumba; na nyumba ile atakayoitwaa BWANA itakaribia mtu kwa mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa hiyo kesho asubuhi wote mtakuja mbele yangu, kabila baada ya kabila. Kabila nitakalolichagua litakwenda mbele, ukoo baada ya ukoo. Ukoo nitakaouchagua utakwenda mbele, jamaa baada ya jamaa. Na jamaa nitakayoichagua itakwenda mbele, mtu mmojammoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo kesho asubuhi wote mtakuja mbele yangu, kabila baada ya kabila. Kabila nitakalolichagua litakwenda mbele, ukoo baada ya ukoo. Ukoo nitakaouchagua utakwenda mbele, jamaa baada ya jamaa. Na jamaa nitakayoichagua itakwenda mbele, mtu mmojammoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo kesho asubuhi wote mtakuja mbele yangu, kabila baada ya kabila. Kabila nitakalolichagua litakwenda mbele, ukoo baada ya ukoo. Ukoo nitakaouchagua utakwenda mbele, jamaa baada ya jamaa. Na jamaa nitakayoichagua itakwenda mbele, mtu mmojammoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “ ‘Asubuhi, mtakuja kabila kwa kabila. Kisha kabila atakalolichagua Mwenyezi Mungu watakuja mbele kufuatana na koo zao; nao ukoo atakaouchagua Mwenyezi Mungu watakuja mbele jamaa kwa jamaa, nayo jamaa atakayoichagua Mwenyezi Mungu watakuja mbele mtu kwa mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “ ‘Asubuhi, mjihudhurishe kabila kwa kabila. Itakuwa kabila lile atakalolitwaa bwana litakuja mbele ukoo kwa ukoo, ukoo ule atakaoutwaa bwana utakuja mbele jamaa kwa jamaa, nayo jamaa ile atakayoitwaa bwana itakuja mbele mtu kwa mtu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Basi asubuhi mtaletwa karibu nami kabila kwa kabila; kisha itakuwa ya kwamba kabila ile atakayoitwaa BWANA itakaribia jamaa kwa jamaa; na jamaa ile atakayoitwaa BWANA itakaribia nyumba kwa nyumba; na nyumba ile atakayoitwaa BWANA itakaribia mtu kwa mtu. Tazama sura |