Yoshua 6:27 - Swahili Revised Union Version27 Basi BWANA alikuwa pamoja na Yoshua; sifa zake zikaenea katika nchi ile yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Basi, Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yoshua na sifa zake zikaenea nchini kote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hivyo Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Yoshua, na sifa zake zikaenea katika nchi yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hivyo bwana alikuwa pamoja na Yoshua, na sifa zake zikaenea katika nchi yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Basi BWANA alikuwa pamoja na Yoshua; sifa zake zikaenea katika nchi ile yote. Tazama sura |