Yoshua 24:24 - Swahili Revised Union Version24 Ndipo hao watu wakamwambia Yoshua, BWANA, Mungu wetu, ndiye tutakayemtumikia; na sauti yake ndiyo tutakayoitii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Nao, wakasema, “Tutamtumikia na kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Nao, wakasema, “Tutamtumikia na kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Nao, wakasema, “Tutamtumikia na kumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Nao watu wakamwambia Yoshua, “Tutamtumikia Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, na kumtii yeye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Nao watu wakamwambia Yoshua, “Tutamtumikia bwana Mwenyezi Mungu wetu na kumtii yeye.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Ndipo hao watu wakamwambia Yoshua, BWANA, Mungu wetu, ndiye tutakayemtumikia; na sauti yake ndiyo tutakayoitii. Tazama sura |