Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 21:29 - Swahili Revised Union Version

29 na Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho, na Enganimu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 na Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho, na Enganimu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

Tazama sura Nakili

Yoshua 21:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakafanya hivyo, wakamletea hao wafalme watano hapo nje ya pango, yaani, mfalme wa Yerusalemu, na mfalme wa Hebroni, na mfalme wa Yarmuthi, na mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.

Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,

mfalme wa Yarmuthi, mmoja; na mfalme wa Lakishi, mmoja;

Zanoa, Enganimu, Tapua, Enamu;

Remethi, Enganimu, Enhada, Bethpasesi;

Tena katika kabila la Isakari, Kishioni pamoja na malisho yake, na Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho;

Tena katika kabila la Asheri, Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, na Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo