Yoshua 21:28 - Swahili Revised Union Version28 Tena katika kabila la Isakari, Kishioni pamoja na malisho yake, na Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Katika eneo la kabila la Isakari, walipewa Kishioni pamoja na mbuga zake za malisho, Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Katika eneo la kabila la Isakari, walipewa Kishioni pamoja na mbuga zake za malisho, Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Katika eneo la kabila la Isakari, walipewa Kishioni pamoja na mbuga zake za malisho, Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 kutoka kabila la Isakari, walipewa: Kishioni, Daberathi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 kutoka kabila la Isakari walipewa, Kishioni, Daberathi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Tena katika kabila la Isakari, Kishioni pamoja na malisho yake, na Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho; Tazama sura |