Yoshua 21:2 - Swahili Revised Union Version2 wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye BWANA aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, mbuga zake za malisho kwa ajili ya mifugo wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “Mwenyezi Mungu aliamuru kupitia Musa kuwa mtupe miji ya kuishi yenye maeneo ya malisho kwa mifugo yetu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “bwana aliamuru kupitia Musa kuwa mtupe miji ya kuishi yenye sehemu za malisho kwa mifugo yetu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye BWANA aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, mbuga zake za malisho kwa ajili ya mifugo yetu. Tazama sura |