Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 19:49 - Swahili Revised Union Version

49 Basi walipomaliza kazi yao hiyo ya kuigawanya nchi iwe urithi kwa kufuata mipaka yake; wana wa Israeli kakampa Yoshua, mwana wa Nuni, urithi katikati yao;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Walipomaliza kugawiana sehemu zote za nchi, Waisraeli walimpa Yoshua, mwana wa Nuni, sehemu yake katikati yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Walipomaliza kugawiana sehemu zote za nchi, Waisraeli walimpa Yoshua, mwana wa Nuni, sehemu yake katikati yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Walipomaliza kugawiana sehemu zote za nchi, Waisraeli walimpa Yoshua, mwana wa Nuni, sehemu yake katikati yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Walipomaliza kuigawa nchi kulingana na sehemu zilizowaangukia, Waisraeli walimpa Yoshua mwana wa Nuni urithi kati yao,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Walipomaliza kugawanya nchi katika migawo kulingana na sehemu zao zilizowaangukia, Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi katikati yao,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

49 Basi walipomaliza kazi yao hiyo ya kuigawanya nchi iwe urithi kwa kufuata mipaka yake; wana wa Israeli wakampa Yoshua, mwana wa Nuni, urithi katikati yao;

Tazama sura Nakili




Yoshua 19:49
4 Marejeleo ya Msalaba  

Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.


kulingana na ile amri ya BWANA wakampa mji alioutaka, maana, ni Timnath-sera katika nchi ya vilima ya Efraimu; naye akaujenga huo mji na kukaa mumo.


Nao wakamzika katika mpaka wa urithi wake katika Timnath-heresi, katika nchi ya vilima vilima ya Efraimu, upande wa kaskazini wa mlima wa Gaashi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo