Yoshua 19:48 - Swahili Revised Union Version48 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Dani, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama sura |