Yoshua 19:31 - Swahili Revised Union Version31 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Asheri, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama sura |