Yoshua 19:23 - Swahili Revised Union Version23 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama sura |