Yoshua 18:2 - Swahili Revised Union Version2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ya wana wa Israeli ambayo yalikuwa hayajagawiwa urithi wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ya wana wa Israeli ambayo yalikuwa hayajagawiwa urithi wao. Tazama sura |