Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 15:60 - Swahili Revised Union Version

60 Kiriath-baali (ndio Kiriath-yearimu) na Raba; miji miwili, pamoja vijiji vyake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

60 Kadhalika walipewa Kiriath-baali, uitwao pia Kiriath-yearimu, na Raba. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

60 Kadhalika walipewa Kiriath-baali, uitwao pia Kiriath-yearimu, na Raba. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

60 Kadhalika walipewa Kiriath-baali, uitwao pia Kiriath-yearimu, na Raba. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

60 Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

60 Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

60 Kiriath-baali (ndio Kiriath-yearimu) na Raba; miji miwili, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili




Yoshua 15:60
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hao walikuwa wana wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrata; Shobali, babaye Kiriath-Yearimu;


Maarathi, Bethanothi na Eltekoni; miji sita, pamoja na vijiji vyake.


Huko nyikani, Beth-araba, na Midini, na Sekaka;


kisha mpaka ulipigwa kutoka juu ya mlima huo hadi kufika chemchemi ya maji ya Neftoa kisha ukatokea hata miji ya kilima cha Efroni; kisha mpaka ulipigwa hadi kufika Baala (ndio Kiriath-yearimu);


Kisha mpaka uliendelea na kuzunguka upande wa magharibi wa kuelekea kusini, kutoka huo mlima ulio mkabala wa Beth-horoni upande wa kusini; na mwisho wake ulikuwa hapo Kiriath-baali (ndio Kiriath-yearimu), ni mji wa wana wa Yuda; huo ndio upande wa magharibi.


Kisha wana wa Israeli walisafiri, wakaifikia miji ya watu hao siku ya tatu. Basi miji ya watu hao ilikuwa ni hii, Gibeoni, na Kefira, na Beerothi, na Kiriath-yearimu.


Nao wakatuma wajumbe waende kwa wenyeji wa Kiriath-yearimu, kusema, Wafilisti wamelirudisha sanduku la BWANA; basi shukeni, mkalichukue.


Na hao watu wa Kiriath-yearimu wakaja, wakalichukua sanduku la BWANA, wakalipeleka ndani ya nyumba ya Abinadabu huko kilimani, nao wakamtenga Eleazari, mwanawe, ili alilinde sanduku la BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo