Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 15:51 - Swahili Revised Union Version

51 Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Gosheni, Holoni na Gilo. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Gosheni, Holoni na Gilo. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Gosheni, Holoni na Gilo. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na moja pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

51 Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Yoshua 15:51
6 Marejeleo ya Msalaba  

Absalomu alipokuwa akitoa dhabihu alituma Ahithofeli Mgiloni, Mshauri wake Daudi, aitwe kutoka mji wake, yaani, Gilo. Njama zao zikawa na nguvu; maana watu waliokuwa pamoja na Absalomu walizidi kuongezeka.

Yoshua akawapiga kutoka Kadesh-barnea mpaka Gaza, na nchi yote ya Gosheni, hata Gibeoni.

Hivyo Yoshua akatwaa nchi hiyo yote, hiyo nchi ya vilima, na nchi yote ya Negebu, na nchi yote ya Gosheni, na hiyo Shefela, na hiyo Araba na nchi ya vilima vilima ya Israeli, na hiyo nchi tambarare;

Anabu, Eshtemoa, Animu;

Arabu, Duma, Eshani;

na Holoni pamoja na mbuga zake za malisho, na Debiri pamoja na mbuga zake za malisho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo