Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 15:15 - Swahili Revised Union Version

15 Kisha akakwea kutoka huko ili kuwaendea wenyeji wa Debiri; jina la Debiri hapo kwanza lilikuwa Kiriath-seferi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kutoka Hebroni alikwenda kuwashambulia wakazi wa Debiri, mji ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kutoka Hebroni alikwenda kuwashambulia wakazi wa Debiri, mji ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kutoka Hebroni alikwenda kuwashambulia wakazi wa Debiri, mji ambao hapo awali uliitwa Kiriath-seferi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kutoka hapo akaondoka kupigana dhidi ya watu walioishi Debiri (mji wa Debiri hapo uliitwa Kiriath-Seferi).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kutoka hapo akaondoka kupigana dhidi ya watu walioishi Debiri (jina la Debiri hapo kwanza uliitwa Kiriath-Seferi).

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Kisha akakwea kutoka huko ili kuwaendea wenyeji wa Debiri; jina la Debiri hapo kwanza lilikuwa Kiriath-seferi.

Tazama sura Nakili

Yoshua 15:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,

Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata Debiri; nao wakapigana nao;

Kalebu akasema, Yeyote atakayeupiga Kiriath-seferi na kuutwaa, mimi nitampa Aksa binti yangu awe mkewe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo