Yoshua 13:32 - Swahili Revised Union Version32 Hizi ndizo mirathi ambazo Musa alizigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Mose alikuwa amewagawia sehemu hizo mbalimbali za nchi iliyokuwa mashariki ya Yeriko na Yordani, wakati alipokuwa kwenye tambarare za Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Huu ndio urithi Musa alipeana alipokuwa katika tambarare za Moabu, ng’ambo ya Yordani, mashariki mwa Yeriko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Huu ndio urithi alioupeana Musa wakati alipokuwa katika tambarare za Moabu, ng’ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Hii ndiyo mirathi ambayo Musa aliigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng'ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki. Tazama sura |