Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yoshua 13:29 - Swahili Revised Union Version

29 Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila la Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila la wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Tena, Mose alikuwa ameipatia nusu ya kabila la Manase kulingana na koo zake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Haya ndio maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, kufuatana na koo zao:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Haya ndiyo maeneo ambayo Musa alikuwa amewapa hiyo nusu ya kabila la Manase, yaani kwa nusu ya jamaa ya uzao wa Manase, ukoo kwa ukoo:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Kisha Musa akawapa hao wa nusu ya kabila la Manase urithi wao; ulikuwa ni wa hiyo nusu ya kabila la wana wa Manase sawasawa na jamaa zao.

Tazama sura Nakili




Yoshua 13:29
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa nusu kabila la Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.


Na mpakani mwa Naftali, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Manase, fungu moja.


na hiyo nchi kushindwa mbele za BWANA; ndipo baadaye mtarudi, nanyi mtakuwa hamna hatia mbele za BWANA, wala kwa Israeli; na nchi hii itakuwa milki yenu mbele za BWANA.


Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo.


na nchi ya Gileadi iliyobaki, na Bashani yote, maana huo ufalme wa Ogu niliwapa nusu ya kabila la Manase; nchi yote ya Argobu, nayo ndiyo Bashani yote. (Na nchi hii yaitwa nchi ya Warefai.


Huo ndio urithi wa wana wa Gadi sawasawa na jamaa zao, miji yake na vijiji vyake.


Na mpaka wao ulikuwa kutoka huko Mahanaimu, Bashani yote, na ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, na miji yote ya Yairi, iliyo katika Bashani, miji sitini;


Kisha kura zilizomwangukia Manase zilikuwa ni sehemu kumi, mbali na nchi ya Gileadi na Bashani, iliyo ng'ambo ya Yordani;


kwa sababu hao binti za Manase walikuwa na urithi katika wanawe wa kiume; na nchi ya Gileadi ilikuwa ni mali ya hao wana wa kiume wa Manase waliosalia.


Basi Musa alikuwa amewapa hiyo nusu moja ya kabila la Manase urithi katika Bashani; lakini hiyo nusu ya pili Yoshua aliwapa urithi kati ya ndugu zao, ng'ambo ya Yordani upande wa kuelekea magharibi. Zaidi ya hayo Yoshua, hapo alipowaruhusu waende zao mahemani kwao, akawabariki,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo