Yoshua 11:18 - Swahili Revised Union Version18 Yoshua akapiga vita siku nyingi na wafalme hao wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Vita alivyopigana Yoshua na wafalme hawa wote vilichukua muda mrefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yoshua akapigana vita dhidi ya wafalme hawa wote kwa muda mrefu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Yoshua akapigana vita siku nyingi na wafalme hao wote. Tazama sura |