Yona 2:5 - Swahili Revised Union Version5 Maji yalinizunguka, hata nafsini mwangu; Vilindi vilinizunguka; Mwani ulikizinga kichwa changu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Maji yalinizunguka na kunisonga; kilindi kilinifikia kila upande, majani ya baharini yakanifunika kichwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Maji yalinizunguka na kunisonga; kilindi kilinifikia kila upande, majani ya baharini yakanifunika kichwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Maji yalinizunguka na kunisonga; kilindi kilinifikia kila upande, majani ya baharini yakanifunika kichwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Maji yaliyonimeza yalinitisha, kilindi kilinizunguka; mwani ulijisokota kichwani pangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Maji yaliyonimeza yalinitisha, kilindi kilinizunguka; mwani ulijisokota kichwani pangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Maji yalinizunguka, hata nafsini mwangu; Vilindi vilinizunguka; Mwani ulikizinga kichwa changu; Tazama sura |