Yohana 9:32 - Swahili Revised Union Version32 Tokea hapo haijasikiwa ya kuwa mtu ameyafumbua macho ya mtu, ambaye alizaliwa kipofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Tangu mwanzo wa ulimwengu haijasikika kwamba mtu ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Tokea hapo haijasikiwa ya kuwa mtu ameyafumbua macho ya mtu, ambaye alizaliwa kipofu. Tazama sura |