Yohana 8:27 - Swahili Revised Union Version27 Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Hawakuelewa kwamba Yesu alikuwa akisema nao juu ya Baba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia kuhusu Baba yake wa Mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hawakuelewa kuwa alikuwa akiwaambia juu ya Baba yake wa Mbinguni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Wala hawakutambua ya kuwa anawatajia Baba. Tazama sura |