Yohana 7:49 - Swahili Revised Union Version49 Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Lakini umati huu haujui sheria ya Mose; umelaaniwa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Lakini umati huu wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Lakini huu umati wa watu wasiojua Torati ya Musa, wamelaaniwa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI49 Lakini makutano hawa wasioifahamu torati wamelaaniwa. Tazama sura |