Yohana 5:38 - Swahili Revised Union Version38 Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 na ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini yule aliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 na ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini yule aliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 na ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini yule aliyemtuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 wala hamna neno lake ndani yenu, kwa sababu hamkumwamini yeye aliyetumwa naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 wala hamna neno lake ndani yenu, kwa sababu hamkumwamini yeye aliyetumwa naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Wala neno lake hamnalo likikaa ndani yenu, kwa kuwa ninyi hammwamini yule aliyetumwa na yeye. Tazama sura |