Yohana 5:37 - Swahili Revised Union Version37 Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nyinyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nyinyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Nyinyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Naye Baba mwenyewe ameshuhudia juu yangu. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuona umbo lake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Naye Baba mwenyewe ameshuhudia juu yangu. Hamjapata kamwe kuisikia sauti yake wala kuona umbo lake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona. Tazama sura |