Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yohana 4:52 - Swahili Revised Union Version

52 Basi akawauliza habari ya saa alipoanza kuwa na nafuu; nao wakamwambia, Jana, saa saba, homa ilimwacha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

52 Naye akawauliza saa mtoto alipopata nafuu; nao wakamwambia, “Jana saa saba mchana, homa ilimwacha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

52 Akawauliza saa ambayo alianza kupata nafuu. Wakamwambia, “Jana saa saba, ndipo homa iliisha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

52 Akawauliza saa ambayo alianza kupata nafuu. Wakamwambia, “Jana yapata saa saba, homa ilimwacha.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

52 Basi akawauliza habari ya saa alipoanza kuwa na nafuu; nao wakamwambia, Jana, saa saba, homa ilimwacha.

Tazama sura Nakili

Yohana 4:52
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule mvulana akapona tangu saa ile.

Naye Yesu akamwambia yule afisa, Nenda zako; na iwe kwako kama ulivyoamini. Mtumishi wake akapona wakati ule ule.

Na alipokuwa akishuka, watumwa wake walimlaki, wakisema ya kwamba mtoto wake yu hai.

Basi babaye akafahamu ya kuwa ni saa ile ile aliyoambiwa na Yesu, Mwanao yu hai. Akaamini yeye na wote wa nyumbani mwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo