Yohana 4:51 - Swahili Revised Union Version51 Na alipokuwa akishuka, watumwa wake walimlaki, wakisema ya kwamba mtoto wake yu hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Alipokuwa bado yuko njiani, akakutana na watumishi wake, wakamwambia kwamba mwanawe yu mzima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Alipokuwa bado yuko njiani, akakutana na watumishi wake wakamwambia kwamba mwanawe yu mzima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Na alipokuwa akishuka, watumwa wake walimlaki, wakisema ya kwamba mtoto wake yu hai. Tazama sura |