Yohana 4:2 - Swahili Revised Union Version2 (lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake) Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 (Lakini ukweli ni kwamba Yesu hakuwa anabatiza ila wanafunzi wake.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 ingawa kwa kweli si Isa mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 (lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake) Tazama sura |