Yohana 4:18 - Swahili Revised Union Version18 kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano, na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako; hapo umesema kweli. Tazama sura |